![]() |
Uwanja wa Timu ya Real Madrid |
Thursday, January 29, 2015
MTOTO wa miaka nane ahojiwa na Polisi
MTOTO mwenye umri wa miaka 8 ahojiwa na polisi nchiniUfaransa kwa
nusu saa Jumatano baada ya madai kwamba alitoa matamshi ya kuwasifu magaidi
akiwa shuleni.
KUKOSEKANA kwa njia mbadala za umaskini wakipato wachangia uharibifu wa Misitu Kilosa
SERIKALI yakumbushwa kuwajali wakulima kupitia katiba pendekezwa
WATUMISHI wilayani Kilombero washajishwa ujasiriamali
Tuesday, January 27, 2015
DRC yatinga robo fainali AFCON
UMOJA wa Afrika wataka hatua za dharula kuchukuliwa kudhibiti boko Haramu
CHIKAWE alitaka jeshi la polisi nchini kupanga mikakati kudhibiti uhalifu
ULANGA waomba msaada wa uwezeshwaji toka FCS
Thursday, January 22, 2015
AFCON;Tunisia yaichapa Zambia
AJUZA wa miaka 90 ahudhuria masomo
WANANCHI watoa maoni yao kuhusu katiba pendekezwa
Saturday, January 17, 2015
MAZINGIRA Institute of Tanzania ya Mlimba , Kilombero yawatka wakazi wilayani humo kutunza misitu
WAKALA wa misitu nchini Tanzania watakiwa kuziwezesha Taasisi za Mazingira
WAKALA wa misitu nchini (TFS)umetakiwa kuwawezisha Taasisi na mashirika mbalimbali yanayojishughulisha na uhifadhi na usimamizi wa misitu
Friday, January 16, 2015
SHIRIKISHO la soka barani Africa latangaza chanjo
CHAMA cha
soka cha Africa (CAf) kimetangaza kufanyika kwa vipimo vya ugonjwa wa ebola
katika michuno ya kombe la Mataifa ya Afrika.
NIGER yapiga marufuku kusambaza nakala za gazeti la Charlie Hebdo
POLISI Ulaya wawakamata washukiwa wa Ugaidi
POLISI katika nchi kadhaa barani Ulaya
wamewakamata washukiwa kadhaa wenye iktikadi kali za kidini katika misako
iliyofanywa usiku kucha.
UTATA waibuka kati ya CCM na wafanyabiashara manispaa ya Morogoro
HOFU ya kuibuka vurugu baina ya wafanya biashara wenye vibanda eneo la Uwanja wa sabasaba na uongozi wa chama cha mapinduzi CCM Manispaa ya Morogoro.
MKUU wa wilaya ya Mvomero awataka wabakaji kujisalimisha
Saturday, January 10, 2015
FABREAGAS apinga Messi kuihama Barcelona
MSICHANA wa miaka kumi ajilipua nchini Nigeria
MLIPUAJI wa
kujitolea muhanga amejilipua katika soko moja katika mji wa kazkazini mashariki
wa Maiduguri nchini Nigeria.
RAIS Rouhan wa Iran ampokea Rais wa Venezuela
ELIMU duni ni kikwazo kwa wadau wa mazingira kupitia sekta ya misitu
Friday, January 9, 2015
YAYA Toure mchezaji bora wa mwaka
YANGA yaaga kombe la Mapinduzi
ISRAEL haina ubavu wa kijeshi wa kuipiga Iran
UMOJA wa Mataifa walaani mashambulizi dhidi ya Albino
Subscribe to:
Posts (Atom)