Sunday, November 15, 2015

MKUHUMI mkombozi wa mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi



 MFUMO wa matumizi mapana ya ardhi ambao siyo endelevu unapaswa ubadilishwe ili nafasi yake ichukuliwe na matumizi ambayo ni sahihi na endelevu zaidi

Hayo yambainishwa hivi karibuni na wataalamu wa misitu na mazingira toka muungano wa vikundi vya kuhifadhi misitu nchini Mkuhumi wakati wakiongea na waandishi wa habari  ...

No comments:

Post a Comment