Sunday, November 15, 2015

ZOEZI la usajili wa wabunge laanza mjini Dodoma



 
Maafisa wabunge wakiendela na zoezi la usajili
MAAFISA
wa Bunge wakipokea nyaraka toka kwa wabunge wateule katika zoezi lililoanza leo Mjini Dodoma.

Wabunge wateule wakipiga picha kwa ajili ya vitambulisho vitakavyotumika kwa ajili ya matumizi ya Bunge Leo Mjini Dodoma Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro , Prof Jumanne Maghembe amewasilia na kujisajili rasmi katika ofisi za bunge mjini humo ...


No comments:

Post a Comment