Monday, July 28, 2014

ASILIMIA 35 ya atoto wanaupungufu wa vitamin A



KIASI cha asilimia 35 ya watoto nchini Tanzania wanaripotiwa kuwa na upungufu wa Vitamin A, jambo linaloathiri maendeleo ya kiafya na ukuwaji na hivyo kusababisha mashaka wanapokuwa watu wazima.

Utafiti uliofanywa na wizara ya afya nchini Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya chakula na lishe nchini umefafanua kuwa  sababu zinazochangia ni mila potofu kwa baadhi ya akinamama, elimu duni na  umaskini uliopita viwango

No comments:

Post a Comment