![]() |
| Waislamu wakiswali katika viwanja vya Jangwani jijini Daresalaam |
WAISLAMU katika sehemu mbalimbali duniani leo wanasherehekea
sikukuu ya Id el Fitr.
Waislamu wanasherekehea sikukuu ya idi el fitr baada ya
mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, ambayo ni moja ya nguzo tano muhimu za
dini ya kiislamu.
Katika baadhi ya nchi waislamu
wanasherekea katika hili ya utulivu, sehemu nyingine wanasherekea wakati nchi
zao zinakumbwa na changamoto mbalimbali.
Hamisi Xie anatueleza zaidi Waislamu
nchini Tanzania wanasherehekea sikukuu ya Idd el Fitr wakati rais wa nchi hiyo
Jakaya Kiwete ametoa mkono wa Idd kwa baadhi ya watu wa makundi ya watu
wasiojiweza kwenye jamii ya Tanzania

No comments:
Post a Comment