![]() |
| Wafanyabiashara wa machungwa soko la Buguruni |
KUKOSEKANA
kwa soko la uhakika wa zao la machungwa huenda kukapunguza uzalishaji wa zao
hilo sanjari na wafanyabiashara wengi wa zao hilo kujitoa.
Uchunguzi uliofanywa na mbiu ya
Maendele o katika soko la Buguruni lililopo Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam
ulishuhudia tani za kadhaa za machungwa yaliyoharibika na kuoza kutokanana uhaba wa soko la uhakika.
Wakiongea na mwandishi wa habari wa Mbiu ya
Maendeleo baadhi ya wafanyabiashara wa machungwa katika soko la Buguruni walisema kuwa , hali hiyo inasababishwa na
uchace wa viwanda vya kununua zao hilo linalozalishwa kwa wingi hapa nchini

No comments:
Post a Comment