![]() |
| Rais Jakaya Kikwete akihutubia Bunge la katiba |
MJADALA wa katiba unaendelea leo katika ukumbi wa
Ubungo Plaza jijini Dar es salaam katika kuangalia mustakabali bunge la katiba.
Wajumbe wa bunge la katiba toka vyama vya upinzani vya CUF, CHADEMA NA
NCCR MAGEUZI maarufu kama Ukawa wakitangaza
kutoshiriki kikao cha bungela katiba linalotarajiwa kuanza jumanne agust 5 kwa
madai ya bunge hilo kuendeshwa kwa kufuata taratibu za chama tawala.
Mjadala huo utaongozwa na
mwanahabari nguli hapa nchini Jenerali Ulimwengu ambapo utaanza saa nane mpaka saa kumi jioni .

No comments:
Post a Comment