![]() |
| Rais wa Ufaransa Francois Holande akihutubia wajumbe |
RAIS wa
Ufaransa, Franois Hollande, ametaja kundi la Waislamu wenye itikadi kali la
Islamic State kama tishio kwa ulimwengu mzima na kwamba ulimwengu mzima
unapaswa kukabiliana nalo.
Alisema haya alipokuwa akifungua mkutano wa kimataifa ambao unatarajiwa kukubaliana juu ya mbinu za kutumiwa kukabiliana na kundi hilo la Kiislamu.
Awali Serikali ya Ufaransa ilisema kuwa ndege zake za kivita zimeanza ziara .
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani, John Kerry amesema kuwa ameunda muungano wa zaidi ya mataifa 40, kukiwemo yale ya Kiarabu, kukabiliana na wapiganaji hayo katika nchi za Syria na Iraq.
Waandishi wa habari wanasema kuwa kushiriki kwa mataifa ya kiarabu kutahalalisha zaidi mashambulizi dhidi ya kundi hilo

No comments:
Post a Comment