WANANCHI wa tarafa ya Mlimba, wilayani
Kilombero wameipongeza Taasisi Mazingita
Institute of Tanzania yenye makao yake
makuu wilayani Kilombero, Mkoa wa Morogoro kwa jitihada zake za kutunza ma
kuhifadhi mazingira katika maendeo mbalimbali yanayozubnguka wilayani za Kilolo
na Mufindi ,mkoani Iringa , na wilaya ya
Wanging’ombe mkoa wa Njombe.
Wakiongea na
Mbiu ya Maendeleo katika mji mdogo wa Mlimba wilayani humo , baadhi ya wananchi
wamesema kuwa , Taasisi ya MAI inafanya shughuli mbalimbali za uhifadhi na
utunzaji wa mazingira ikiwemo kupanda miti, kutunza vyanzo vya maji, kutoa elimu
ya kilimo rafiki wa mazingira, uchomaji wa mkaa na na ukataji wa miti, ufukaji wa nyuki n.k

No comments:
Post a Comment