| Waandishi wa habari wakiwa katika eneo la mgodi |
Kampuni
ya uchimbaji dhahabu ya Buckreef ya Geita, Mkoani Geita imepewa siku kumi na nne kuanza uzalishaji la sivyo wataandikiwa hati ya makosa na Afisa
madini mkazi wa mkoa wa Geita.
Hayo yamebainishwa
maepama leo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard
Kalemani alipotembelea eneo la mgodi huo ili kujionesha shughuli mbalimbali
zinazofanywa na kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment