Wednesday, October 26, 2016

GAMBIA jaitoa mahakama ya uhalifu ya kimataifa(ICC)


Rais wa Gambia Yahya Jammeh

SERIKALI  ya Gambia imesema kuwa itajiondoa kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC mara moja.

Hatua hiyo imekuja kutokana na madai kuwa ICC hushughulika na Waafrika pekee.
Maamuzi ya kujitoa katika mahakama hiyo yanafuatia baada ya Burundi na Afrika ya Kusini kutangaza kujiondoa
Rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh amekua madarakani tangu mapinduzi nchini humo mwaka 1994.


No comments:

Post a Comment