![]() |
| Wasichana wakichota maji kwa shughuli za nyumbani |
UNICEF
imesema kuwa tofauti hiyo ya wakati uliotumika ni sawa na saa milioni 160 za
ziada kwa siku.
Wawili
kati ya wasichana watatu wanapika na kuosha nguo katika nyumba zao na nusu ya
idadi hiyo hubeba maji na kutafuta kuni.
Pia
hufanya kazi za uyaya mbali na kuwaangalia wazee,ripoti hiyo imesema.
Ripoti
hiyo pia imebaini kwamba kazi za ziada huongezeka kwa wakati:kati ya umri wa
miaka 5 na 9,wasichana hutumia muda wao mwingi kufanya kazi za nyumbani
wafikiapo na kazi hizo huongezeka kwa asilimia 50 wafikiapo umri wa miaka 14.
Kazi
kama vile kutafuta maji ama kuni zinaweza kuwaweka wasichana wadogo katika hatari
ya unyanyasaji wa kingono,ripoti hiyo inasema.
Nchini
Somalia ,wasichana walio kati ya umri wa miaka 10 na 14 hutumia saa 26 kwa wiki
kufanya kazi za nyumbani,ikiwa, ni saa nyingi zaidi ikilinganishwa na taifa
lolote jingine.
Burkina
Faso na Yemen pia zina tofauti kubwa ya sa

No comments:
Post a Comment