Sunday, June 19, 2016

YANGA yakubali kichapo cha bao moja

WAWAKILISHI wa mashindano ya shirikisho nchini Tanzania, t
Timu ya Yanga ya Tanzania 
imu ya  Yanga  jana imeshindwa kutamba ugenini baada ya kupigwa bao moja na timu Mo bejaia ya Algeria.



Timu ya Mo bejaia ilipata bao la ushindi dakika ya ishirini kipindi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment