![]() |
| Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi |
RAIS mstaaafu
wa awamu ya pili nchini Tanzania , Alhaj Ali Hassani Mwinyi amewataka waislamu
kudumisha na kuienzi amani iliyopo nchini ili kupeusha machafuko kama yale
yanayotokea mashariki ya kati.
Rais Mwinyi ametoa
nasaha hizo mapema jana jijini Dar es salaam katika mashindano ya kuhidfadhi
Qur’an ya Afrika mashariki yaliyoaandaliwa na Al Hikma Edecation Center ya Temeke
,jijini Dar es salaam

No comments:
Post a Comment