![]() |
| Rais Jakaya Kikwete |
RAIS
Jakaya Mrisho Kikwete amewataka
wakuu wa mikoa kuhakikisha kuwa shule za kata zinakuwa na maabara kwaajili ya
wanafunzi kujifunza sayansi kwa vitendo.
Rais Kikwete amtoa agizo hilo mapema
leo jijini Tanga katika ziara yake ya kukagua shughuli za maendeleo mkoani
humo.

No comments:
Post a Comment