![]() |
WATU wanane wamejeruhiwa mmoja akiwa hali mahututi
kufuatia mlipuko katika mkahawa mjini Arusha Tanzania
Mlipuko huo ulitokea Jumatatu jioni na polisi wangali wanachunguza kilichousababisha.
Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, mlipuko huo ulitokea Jumatatu jioni na kuwajeruhi watu wanane huku mmoja akiwa hali mahututi.
Haijulikani kilichosababisha mlipuko huo.

No comments:
Post a Comment