![]() |
| Viongozi wa Suan wakiwa kwenyeb mazungumzo |
MAZUNGUMZO ya amani baina ya makundi yanayopingana ya Sudan
Kusini yamekwama hivyo kuondoa matumaini kwamba makubaliano yanaweza kufikiwa.
Serikali ya Sudan kusini na waasi wa upinzani wameshindwa kukutana katika mazungumzo yaliyopangwa kufanyika Addis Ababa alhamis kwa sababu ya shutuma za upinzani kuhusu taratibu za mashauriano hayo..
Kundi la upinzani limekataa kushiriki katika majadiliano siku mbili zilizopita likisema kuwa linataka kuzungumza moja kwa moja kumaliza ghasia kabla ya kujadili marek

No comments:
Post a Comment