![]() |
| Viongozi wa UKAWA wakiongea na waandishi wa habari |
BAADHI ya watanzania wamesema
kuwa wanasiasa wasigeuze mjadala wa katiba ni mali yao kwa kuweka vikwazo vya
aina mbalimbali ili matakwa yao
yatimizwe.
Wakiongea na waandishi wa
habari jijini Dra es salaama leo, baadhi ya wananchi walitoa maoni hayo
kufuatia kauli iliyotolewa na viongozi wa umoja wa katiba ya wananchi maarufu
kama UKAWA ya kufanya maandamano nchini nzima kama mfumo bunge la katiba
halijasimamisha mjadala kwani ni kinyume cha sheria.
Wananchi hao wamefafanua kuwa,
hivi karibuni watanzania wameshuhudia tambo za wanansiasa toka vyama vya
upinzani na wale wa chama tawala kuhusu mchakato wa katiba ilihali wote wameraminiwa na wananchi
kuhakikisha kuwa katiba mpya inapatika ili kutimiza malengo yaliyokusudiwa ,

No comments:
Post a Comment