Saturday, September 13, 2014

BENDERA awataka askari kubuni njia rahisi za kukuza uchumi



 
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera
MKUU wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera amewataka askari hususani
vijana nchini kutumia muda mwingi kubuni njia rahisi za kukuza uchumi
kupitia fulsa zilizopo eneo husika badala ya kujiingiza katika uovu
ukiwemo jambazi.


Hayo ameyasema kwenye sherehe za maadhimisho ya mika 40 Mzinga
zilizokwenda sambamba na uzinduzi na kufunguzi wa miradi mbalimbali
inayotekelezwa na shirika la Mzinga lililo chini ya jeshi  la wananchi
wa Tanzania JWTZ.

"tunaomba ninyi mliopo hapa kuongeza ubunifu zaidi na ikiwezekana
tumieni uwezo mlionao kutawanya utaalamu kwa vijana nchini ili waweze
kulitumikia taifa kawa tija kama mnavyofanya hapa"alisema Bendera

Mbali na hayo Brndera alilipongeza shirika hilo kwa mafanikio makubwa
yenye tija kwa jamii na kuuwezesha mkoa na taifa kutambulika kupitia
kimokoa,taifa mna kimataifa kupitia shuguli hizo.

Kwa upande wake Brigedia Jenerali Chales Muzanila amsema shirika hilo
litaendelea kushirikiana na kusadia jamii katika kuzalisha bidhaa
zenye ubora zaidi. brigedia jenerali chales muzanila mkurugenzi mkuu
wa shirika la mzinga



No comments:

Post a Comment