Friday, September 19, 2014

SCOTLAND yaridhia kubaki kuwa sehemu ya Uingereza


Raia waScotland wakifurahia matokeo

SCOTLAND  imefanya uamuzi wa mwisho kuwa itaendelea kubaki sehemu ya Uingereza , raia kwa pamoja wamekataa uhuru wa Scotland.

Maeneo 31 kati ya 32 wamepika kura ya HAPANA siku ya Alhamisi na kuongoza kwa kura 1,914,187 dhidi ya 1,539,920.
Ushindi huo ni asilimia 55 dhidi ya 45 waliokuwa wakiunga mkono hatua ya kujitenga.
Waziri Kiongozi wa Scotland Alex Salmond amesema ameridhia kuanguka katika mchakato wa kura ya maoni.

No comments:

Post a Comment