![]() |
| Wachezaji wa Manchester United wakishangilia |
KOCHA wa
Manchester United Louis van Gaal amesema kuwa anapania kuirejesha kombe la ligi
kuu ya Uingereza uwanjani Old Trafford.
Kocha huyo alizungumza punde baada ya Man United kusajili ushindi wake wa kwanza msimu huu .
United iliilaza QPR 4-0 uwanjani Old Trafford jumapili.

No comments:
Post a Comment