![]() |
| Wakulima wa mahindi bonde la mto Rufiji |
SERIKALI
imeshauriwa kuanda mpango maalum wa
kuwasaidia wakulima na wafugaji kuhusu
mabadiliko ya tabia nchi ili waweze kukabiliana na changamoto
zinazowakabili katika sekta hizo mbili muhimu.
Wakiongea na wandishi
wa habari wilayani Rufiji , mkoa wa Pwani, hivi karibuni, wakulima na wafugaji
wa Ikwiriri wameeleza kuwa mvua zinazoendelea
nchini katika maeneo ya Pwani zinatoauti kubwa na zile za kipindi cha nyuma ,
hivyo kama elimu haijatolewa kwa wakulima na wafugaji zinaweza kuwa na athari kwao

No comments:
Post a Comment