![]() |
| Wananchi nchini Misri wakiandamana |
WANANCHI wa Misri kutoka matabaka tofauti wamefanya
maandamano ya nchi nzima kupinga sera za kiuchumi za serikali inayoungwa mkono
na jeshi la nchi hiyo na pia ukandamizwaji wa wananchi.
Maandamano
hayo yamefanyika katika miji yote ya Misri, ambapo waandamanaji wamebainisha
malalamiko yao kuhusu hali mbaya ya maisha na kuendelea kutoheshimiwa utu
nchini humo.
.
Kwa wiki kadhaa sasa harakati hiyo imekuwa ikiitisha maandamano ya
kupinga serikali kulalamikia kubaguliwa wafanyakazi nchini Misri na pia
serikali kushindwa kutoa huduma ipasavyo katika sekta mbalim

No comments:
Post a Comment