![]() |
| Rais Kikwete akiongea na wananchi wa Kilosa |
ZOEZI la
ugawaji wa viwanja kwa waathirika wa mafuriko ya mwaka 2011 wilayani Kilosa
mkoa wa Morogoro limeanza wilayani humo huku baadhi ya wananchi wakimpongeza
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete.
Pongezi hizo za wananchi
aho kwa Raisi Kikwete ni kutokana na uongozi wa wilaya kukalia
agizo la rais kwa muda mrefu la kuwagawia
wananchi aho maeneo ya viwanja vya kuishi kutokana na nyumba zao
kuharibiwa na mafuriko.
Wakiongea na Mbiua ya
Maendeleo Media Group , wananchi hao wamesema
eneo la njia pandaya Kwenda Ilonga ambapo wanagaiwa viwanja hivyo
kwaajili ya makazi mapya ni eneo zuri ambalo linafaa na halina maji.
.

No comments:
Post a Comment