Friday, July 31, 2015

BEIJING kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olimpiki mwaka 2022



MJI mkuu wa Beijing ndio utakaokuwa mwenyeji wa mashindano ya olimpiki ya msimu wa baridi ya mwaka wa 2022.

Mji huo wa China umeipiku mji pinzani wa Almaty ulioko Kazakhstan .
Beijing ambayo iliandaa mashindano ya Olimpiki ya mwaka wa 2008 ya msimu wa joto sasa umeingia katika daftari za kihistoria kwa kuwa mji mkuu wa kwanza kuandaa mashindano yote mawili ya Olimipiki ya msimu wa joto na yale ya msimu wa Baridi.

No comments:

Post a Comment