Saturday, August 1, 2015

GOR MAHIA kupamana na Azam FC fainali za CECAFA



 TIMU  ya Gor Mahia ya Kenya itakabiliana na Azam katika fainali ya Kombe la CECAFA.

Azam ilihitaji bao la dakika za mwisho lililofungwa na Farid Musa kuilaza KCCA kutoka Uganda na kufuzu katika awamu ya kilele cha kombe hilo.
Kilabu ya Azam kutoka Tanzania imefuzu katika fainali ya ombe la Kagame CeCAFA baada ya kuindoa KCCA ya Uganda kwa bao moja kwa bila katika mechi ya nusu fainali ya pili iliochezwa katika uwanja wa kitaifa wa Dar-es-Salaam nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment