Saturday, August 1, 2015

MAGUFULI akagua ujenzi wa barabara ya Tengeru



WAZIRI wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akisalimiana na baadhi ya wakazi wa Patandi wakati akiwasili kwenye hafla hiyo ya kukagua ujenzi wa barabara ya lami ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja na madaraja.

No comments:

Post a Comment