Mwezi
uliopita waziri Mkuu David Cameron alisema kuwa baadhi ya watoto walikuwa
'wakipewa sumu na kufunzwa chuki' katika madrassa.
Mashirika
ya kiislamu yanakubali kwamba udhibiti unahiitajika ili kuwalinda watoto lakini
yananisistiza kuwa wasiwasi kuhusu msimamo mkali haufai.
Uingereza
ina takriban madrassa 2,000

No comments:
Post a Comment