Saturday, December 5, 2015

JERAHA lamzuia Rooney kucheza mechi ya nyumbani

Rooney
MSHAMBULIAJI  wa Manchester United Wayne Rooney hatacheza mechi ya nyumbani dhidi ya West Ham Jumamosi na pia mechi muhimu Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Wolfbsurg kutokana na jeraha.

Rooney anauguza jeraha la kifundo cha mguu.
Fowadi huyo mwenye umri wa miaka 30 hakuweza kumaliza mechi waliyotoka sare 1-1 ugenini Leicester City wikendi iliyopita na atahitajika kusubiri muda zaidi kuchezea klabu hiyo mechi yake ya 500.
Meneja Louis van Gaal amesema tatizo hilo ni mbaya


No comments:

Post a Comment