RIPOTI mbalimbali zinaarifu kuwa, vitisho na machafuko dhidi ya Waislamu
nchini Marekani vingali vinaendelea.
Shirika la habari la
ISNA limelinukuu toleo la Jumamosi hii la gazeti la New York Times kuwa, ingawa
taasisi za Waislamu wa Marekani zimelaani mashambulizi yaliyofanywa na kundi la
kigaidi la Daesh katika jimbo la California, hata hivyo vitisho na machafuko
dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo vingali vinaongezeka.
Ripoti mbalimbali
zinaarifu kuwa, vitisho na machafuko dhidi ya Waislamu nchini Marekani vingali
vinaendelea. Shirika la habari la ISNA limelinukuu toleo la Jumamosi hii la
gazeti la New York Times kuwa, ingawa taasisi za Waislamu wa Marekani zimelaani
mashambulizi yaliyofanywa na kundi la kigaidi la Daesh katika jimbo la
California, hata hivyo vitisho na machafuko dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo
vingali vinaongezeka.

No comments:
Post a Comment