Saturday, December 5, 2015

MANISPAA ya Kinondoni yaendelea na shuguli ya usafi wa mazingira

Bi Suzan Chekani akikagua mazingira katika soko la Magomeni 
KATIKA kutekeleza agizo la Rais John Magufuli linalowataka viongozi na watendaji wote wa serikali kuadhimisha siku ya Uhuru nchini kwa kufanya usafi wa mazingira , manispaa ya Kinondoni inaendelea na zoezi hilo katika maeneo mbalimbali katika manispaaa hiyo.

Mkurugenzi wa Idara ya Tawala za Mikoa Dodoma Bi.Susano Chekani akiwa ameongoza na
viongozi mbalimbali kutoka Manispaa ya Kinondoni leo amefanya  ziara ya 
kuangalia hali ya usafi ya soko la Magomeni, Manispaa ya Kinondoni , jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment