![]() |
| Waziri wa mambo ya ndani nchini Ufaransa Bernard Cazeneuve |
SERIKALI
serikali nchini Ufaransa imepiga marufuku Taasisi kadhaa za utamaduni
zinazomilikiwa na msikiti mmoja ndani ya nchi hiyo.
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini
Ufaransa Bernard Cazeneuve, amesema hayo
mapema leo baada ya kumalizika kikao cha
Baraza la Mawaziri na kuongeza kuwa, taasisi hizo za Kiislamu zinamilikiwa na
msikiti wa Lagny katika viunga vya mji wa Île-de-France nchini humo.
Aidha Waziri huyo wa Mambo ya Ndani
wa Ufaransa amedai kuwa, viongozi wa Taasisi hizo walikuwa wakichochea vitendo
vya kigaidi nchini Ufaransa.

No comments:
Post a Comment