Thursday, July 28, 2016

UKOSEFU wa elimu ya miti ni kikwazo kwa wananchi wengi

KUKOSEKANA kwa mitaji na elimu sahihi ya kuzalisha na kuhudumia miti kwaajili ya mbao , kuni, matunda , mapambao na vivuli ni moja n ya mambo yanayopchangia watanzania wengi kutojishughulisha na kilimo cha miti.

Hayo yamebainishwa na wadau wa  misitu mjini Kisarawwe mkoa wa Pwani katika mazungumzo na Mbiu  Media kuhusu utunzaji na uhifadhi wa mazingira kupitia sekta ya misitu

Wameema kuwa watanzania wengi hawana ari ya kutaka kujifunza na kujihusisha na kilimo cha miti kutokana na kutaraji mafanikio ya hatraka huku wakisahau kuwa misitu ni mali.

No comments:

Post a Comment