Friday, July 29, 2016

UKOSEFU a madampo ya kuhifadhi taka ni changamoto inayowakabili wakazi wa Temeke

JIJI  la Dar na Halmashauri  zake za Kinondoni, Temeke na Ilala zinakabiliwa na changamoto ya uhaba wa madampo ya kutupa taka  baada ya wananchi wengi kuitikia agizo la mkoa kufanya usafi kila siku ya jumamosi.

Wakiongea na Mbiu Media , baadhi ya wananchi wa kata ya Kijichi , manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam wamesema kuwa serikali ya mkoa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo hawana budi kuangalia mbinu mbadala za kukabiliana na changamoto za kukithiri kwa mamdampo madogo madogo yaliyopo mitaani.



No comments:

Post a Comment