![]() |
| Waandamanaji jijini Nairobi |
Usiku
kucha maafisa wa polisi waliharibu vibanda vilivyojaa kandokando ya barabara
ambapo huweka bidhaa zao zote.
Operesheni
hiyo ya polisi inafuatia malalamishi kutoka kwa wamiliki wa maduka ambao
wanasema kuwa wamekuwa wakizuia watu kuingia katika maduka hayo.(bbc Swahili )

No comments:
Post a Comment