![]() |
| Waaandishi wa habari wakiwa katika maandamano |
Shirika
la kutetea haki za kibinaadamu la Umoja wa Mataifa, linasema katika ripoti
yake, kwamba tangu mwaka wa 2014, waandishi wa habari mia 120 wengine
wamekamatwa kiholela.
Vyombo
vya habari kadhaa vimefungwa.
Ripoti
hiyo imetaka haki ya kujieleza iheshimiwe, kabla ya uteuzi wa bunge jipya
baadae mwezi huu.
Inasema
wabunge 18 wameuawa tangu 2012, na wanaharakati kadha wa kisiasa wamefungwa.
Waandishi
wa wanasiasa wamekuwa wakiuawa na wapiganaji wa kundi la al Shabab pamoja na
wapinzani ambao wanapinga kazi yao.(BBC SWAHILI )

No comments:
Post a Comment