Sunday, September 4, 2016

TAIFA STARS yachapwa bao moja na Nigeria

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars)
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Tiafa Stars) na ilichapwa bao moja na timu ya Taifa ya Nigeria.

 Bao la Nigeria  lilifungwa na  Kelechi Iheanacho ambaye wiki moja tu iliyopita amesaini kandarasi ya malipo ya pauni 85,000 kwa wiki na kuwa mchezaji anayelipwa juu zaidi nchini Nigeria ameonyesha umahiri wake.
Bao la mda wa ziada la mshambuliaji huyo wa Manchester City ndilo lililoweza kubaini mbivu na mbichi dhidi ya Tanzania katika mchuano wa kufuzu kwa kombe la bara Afrika 2017.


No comments:

Post a Comment