![]() |
| Rais wa Zambia Edgar Lungu |
Katika uamuzi wa wengi ,jopo la majaji katika mahakama hiyo ya
kikatiba liliamua kwamba mda wa mwisho uliowekwa kusikiliza kesi hiyo ulikuwa
umekwisha.
Bwana Lungu alihifadhi kiti chake baada ya kujipatia zaidi ya
asilimia 50 ya kura katika uchaguzi huo uliofanyika tarehe 11 mwezi Agosti.
Chama cha UPND cha mpinzani wake Hakainde Hichilema kilipinga
matokeo hayo na kuwasilisha ombi la kuyapinga mnamo tarehe 19 mwezi Agosti.

No comments:
Post a Comment