![]() |
| Wachezaji wa Mbeya City wakishangilia |
TIMU ya Mbeya City ya jijini Mbeya
imewasili mkoani humo baada ya safari ndefu ya kada ya Ziwa ilipokuwa ikicheza
na timu ya Mbao Fc na kuichapa bao nne kwa bila .
Mbaeya City
imewasili mapema leo huku ikijiandaa na mchezo wa ligi kuu ya voda Com Tanzania bara ambapo itacheza na Azam Fc
maarufu kama “Lambalamba “

No comments:
Post a Comment