Tuesday, September 6, 2016

DIWANI aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka aachiwa huru

Jaji mkuu wa Tanzania Othman Cahnde akiwa na majaji katika picha ya pamoja 
MAHAKAMA wilaya Morogoro imemwachia huru diwani wa kata yaMtibwa Lucas Mwakamba yaaliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka aacghiwa hutru Chadema kwa kulifutilia mbali shitaka la ubakaji lililokuwa likimkabili baada ya jeshi la polisi kushindwa kuwafikisha mahakamani hapo mashahidi upande wa mashitaka.

Uamuzi wa kulifutilia mbali shitaka hilo namba 148/2016 ulifikiwa jana na hakimu wa mahakama hiyo Joyce Mkoi baada ya kuungana nawakil iwauteteziBartalomew TarimowakampuniyaB.L.Tarimo&Co. Advocates kuiomba mahakama kufanya hivyo dhidi ya mteja wake kwani asikari hao wameshindwa na hawana mashahidi.
“nidhahiliwalalamikajimmeshindwakuwaletamashahidimahakamani, maanamahakamaimewahitajimarakadhaabilamafanikiohivyoinaonahakuanahajayakuendeleanalo”alisemaMkoi.
HatahivyoupandewamashitakachiniyamwanasheriaKapingahaukuwanapingamiziambapobaadayahukumumwanasheriawauteteziBartalomewTarimoalizungumziakufurahishwanamahakamakumtendeahakimteja wake akisisitizakwajeshi la polisikuwamakinidhiidiyamakosawanayowaandaliawatuhumiwa.
“tunashukurukuwaMahakamaimeonanakutendahakidhiidiyamtejawangu,ilaniliombejeshi la polisikuwamakininauandaajiwamakosadhiidiyawashitakiwakwanikamahalinaushahidiunaojitoshelezahakunahajayakujazakesimakamaniambazomwishowasikuzinaishiakufutwa”alisemaTarimo.
Kwaupande wake kaimukatibuwabaraza la Vijana BAVICHA ChademamkoapiakatibuBavichaManispaayaMorogoroJacsonMalisaalisemawanaangaliauwezekanowakukukishaurichama cha DemokrasianaMaendeleoChademakwakuwashirikishawanasheria wake kuwagunliakesiviongoziwanaokiukakanununa sharia zauongozi.

“fikiriasasahivitumekuwatukipotezamudamwingikushindamahakamanikwajamboambalokumbehalinahataushahidi,miminadhaniipohajakukishaurichamakuwafunguliakesiikiwezakanandani nan je yanchiviongoziwotewanaotumianafasizaokutudhalilishanakutupotezeamuda,mfanokamandawapolisimkoa”alisemaMalisa.

No comments:

Post a Comment