Waziri ofisi ya Raisi utawala bora kapteini George Mkuchika akiongea viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar |
MAADHIMISHO ya wiki ya utumishi wa umma
yamefunguliwa leo katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam na waziri
wa nchi ofisi ya Raisi (Utawala bora) Kapteni mstaafu George Mkuchika ambapo
amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho hayokujionea
shughuli mbalimbali zinazofanywa na baadhi ya wizara na Taasisi zake.
Maadhimishohayo
yanatarajiwa kumalizika juni 23 ambapo yatafungwa kwa kutolewa hotuba
mbalimbali toka kwa viongozi wa serikali.
Kauli mbiu
ya mwaka hu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma ni mkataba wa msingi na
kanuni za utumishi wa umma barani Afrika ni chachu ya kuimarisha utawala bora
na uendeshaji wa shughuli za serikali kwa uwazi.
No comments:
Post a Comment