Sunday, June 1, 2014

UBOVU wa miundombinu ya umwagiliaji yakwamisha mikakati ya wakulima ya kujikomboa kiuchumi.

UBOVU  wa  miundo mbinu ya umwagiliaji na bei juu z a pembejeo za kilimo  ni miongoni mwa changamoto zinazowakabili wakulima wa vitunga wa malolo, Lumuma na  Kitati wilayani Kilosa na Mpwapwa.
Hayo yameabainishwa mwishoni mwa wiki  na wakulima wa zao la vitungu wa vijiji vya Malolo na Lumuma wilayani Kilosa sanjari na wale wa vijiji vuya Mboli na Kitati wilayani Mpwapwa   wakati wakiongea na mbiu ya maendeleo katika vijiji hivyo.

Wamesema kuwa, ili uzalishe mazao yenye ubora na kukidhi viwango vya walaji ni lazima utumie pembejeo  za kilimo za kisasa saanjari na uwepo wa miundo mbinu ya umwagiliaji inayokidhi viwango.
Kutokana  kuboresha miundo mbinu ya umwagiliaji katika skimu hizo pamoja na Taasisi za fedha kuwakopesha wakulima wadogo wenywe mitaji midogo ili kumudu gharama  za uzalishaji

No comments:

Post a Comment