Sunday, June 1, 2014

WANANCHI wilayani Kilombero wazipongeza Taasisi za KIVEDO na Plan Inetrnational



WANANCHI  wa wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro wamezipongeza Taasisi za KIVEDO na  Plan Inetrnational zilizopo Ifakara kwa jitihada zao za kuhifadhi mazingira na kuwezesha vikundi vidogovidogo  na wakulima kwa kutoa elimu na fedha ili kupambana na uharibifu wa mazingira.


Wakiongea na wanahabari katika kivuko cha mto Kilombero mapema leo,wavuvi wanaofanyashughuli zao katioka mto Kilombero wameeleza kuwa, Taasisi hizo zimejitahidi kuhifadhi mazingira na vyanzo vya maji vya mtioo Kilombero jambo liliksaidi na kupunguza uharibifu wa mazingira .

Wamesema badom jitihada za makusudii zinahitajika za utoaji wa elimu ikiwa ni pamoja na kuwa na semina na warsha za mara kwa mara kwa wavuvi, wakulima , wafanyabiashara wa samaki, mbao nab mazao yote ya maliasili.

No comments:

Post a Comment