Malala akiwa na mmoja wa wazazi wa mabint walioteka Nigeria |
MWANAHARAKATI mwenye
umri mdogo raia wa pakistan Malala Yousafzai amekutana na rais wa Nigeria Goodlack
Jonathan mjini Abuja.
Lengo la mkutano huo ilikuwa kwa
Malala kushinikiza Rais Goodluck kuchukua hatua zaidi ili kuwakoa wasichana wa
shule waliotekwa na kundi la wanmgambo wa Boko Haram mwezi April.
Tayari mwanaharakati huyo ashakutana
na familia za wasichana hao kuwapa moyo na matumaini.
Boko Haram wametoa kanda ya video ya
kusuta kampeni za kutaka kuachiliwa wasichana hao. Kundi limetaka kuachiliwa
kwa wapiganaji wake.
Malala alipigwa risasi kichwani na
kundi la Taliban nchini Afghanistan alipokuwa akipigania elimu kwa wasichana.
Malala mwenyewea alikuwa mwathiriwa
wa vita vya Taleban nchini Pakistna ambao na wao pia wanapinga elimu kwa watoto
wasichana.
Yuko nchini Nigeria kwa ziara ya
siku tatu. Katika siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, ameamua kwenda
Nigeria kutoa wito wa kuwachiliwa kwa wasichana hao wengi ambao wana umri sawa
na yeye, miaka 17.
Ni miezi mitatu tangu wasichana hao
zaidi ya 200 kutekwa nyara na pia sio kawaida kwamba Rais Jonathan bado hata
hajakutana na familia za wasichana ha
No comments:
Post a Comment