MAMIA ya
waandamanaj wa Hong Kong wamezingirwa na Askari polisi wanaowataka kusitisha
maandamano na mkusanyiko wao karibu na ofisi za Makao makuu ya serikali.
Waratibu wa maandamano hayo wamekaidi amri
hiyo na kuwataka watu wengine zaidi kujitokeza ili kuwaunga mkono katika madai
yao ya kuitaka China iwaachie uhuru wa kumchagua kiongozi wao katika uchaguzi
ujao wa mwaka 2017.
Kiongozi wa Mamlaka ya Hong Kong C Y Leung
amesema serikali yake imesikiliza na
No comments:
Post a Comment