Saturday, August 9, 2014

MACHUNGWA toka mikoa ya PWANI NA tanga yaendelea kuoza kutokana na uhaba wa soko


Mfanyabiashara wa machungwa soko la Buguruni jijini Dar es salaam

WAKULIMA zao la machungwa toka mikoa ya TANGA na Pwani wameendeleza kuikumbusha serikali kuhakikisha kuwa viwanda vya usindikaji wa matunda vinaongezwa ili kuongeza kipato cha wakulima.

Wakiongea na Mbiu ya Maendeleo katika soko la Buguruni jijini Dar es salaam leo , wakulima aho wamesema hali ni mbaya kutokana na machungwa mengi kuoza hali inayosababishwa na uwezo mdogo wa wafanyabiasha wa kununua matunda hayo.
Wamesema wamrkuwa wakilalamikia serikali kuwahamasisha wawekezaji kuwekeza katika viwanda vya usindikaji wa matunda ili kupunguza umaskini wa kipato sanjari na kuongeza ajira

No comments:

Post a Comment