SHIRIKISHO la soka ulimwenguni FIFA limetishia kutimua
Nigeria kutoka kwa shirikisho hilo iwapo Chris Giwa hataacha kujidai kuwa rais
wa shirikisho la soka nchini humo.
Shirikisho hilo limesema Nigeria ina
hadi Jumatatu kubadili mambo kwani halimtambui bwana Giwa kama Rais wa shirikisho
la soka nchini humo.
Ikiwa shirikisho hilo litawekewa
marufuku, marufuku hiyo itaondolewa tu iwapo bodi halali iliyoishidhishwa
kushika uongozi , Aminu Maigari akiwa rais wake, itaruhusiwa kuendelea na kazi
zake.
Uchaguzi mpya utahitajika kufanywa
haraka iwezekanavyo.
Siku ya mwisho kwa Giwa kujiondoa
kama rais wa NFF ilifikiwa na FIFA Jumatano. Hii ni baada ya Giwa kukosa kutii
makatibu

No comments:
Post a Comment