Mwananchi wa Kenya akihesabu fedha |
Mabadiliko hayo yamehusisha upigaji upya wa hesabu ya thamani ya mapato yanayotokana na mauzo ya bidhaa pamoja na huduma zinazotolewa na uchumi wa taifa hilo - na pato la wastani limeongezeka kwa kiwango cha dola bilioni 53 -ongezeko hili likiwa ni robo ya sehemu ya ukuaji wote wa uchumi wa taifa hilo.
Tathmini hii ya uchumi wa Kenya imeshuhudia bei ya bidhaa na huduma ikipanda huku pato la nchi pia ikipanda kwa mabilioni ya dola.
Takwimu hizo mpya zinajumuisha sekta zinazoibuka ikiwemo teknolojia na sekta ya ujnenzi na nyumba.
No comments:
Post a Comment