|
Rais Kikwete akiwasalimiana na baadhi ya wzee |
SERIKALI ya
jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetakiwa kuweka sheria maalum
itakayohakikisha kuwa wazee wanapata
bure huduma muhimu za kijamii.
Wakiongea na
Mbiu ya Maendeleo mapema leo , baadhi ya wananchi jijini Dar es salaam wamesema
kuwa, bado wazee nchini wanaishio maisha ya kidhalili sana katioka kupata
huduma za matibabu , chakula na maji kwani
hazina uhakika na ni zakubabaisha
No comments:
Post a Comment