Husain Abdullah akisujudu uwanjani |
Refarii
alimwadhibu papo hapo Abdullah alipoinuka baada ya kusheherekea kwa kupiga sijida.
Aliyekuwa refarii
wa zamani wa NFL Mike Pereira
alisema kuwa sio hatia mtu kupiga sijida.
Tukio hilo
linawadia wakati ambapo ligi hiyo inapigwa msasa kufuatia utovu wa nidhamu
mbali na tuhuma chungu nzima kuhusiana na wachezaji wa ligi hiyo.
Tayari wandani wa
NFL wanadai kuwa kuna upendeleo kwani mchezaji mwengine nyota Tim Tebow
hakuadhibiwa baada ya kuonesha ishara yake al maarufu “Tebowing” msimu wote wa
mwaka wa 2011.
Abdullah
amejitokeza kutetea dini yake ya Uislamu sawa na vile Tebow huonesha wazi kuwa
ni Mkristo.
Aidha Abdula
alihiji mwaka uliopita alipoambatana na kakake Hamza,kuenda kwa hajji huko
Mecca.
Kwa mujibu wa
washika dau wanaishauri NFL itangaze wazi msimamo wake kuhusiana na ishara za
kidini ilikutoa utata unaoib
No comments:
Post a Comment